Swali: Kuna mwanamke yuko na jini la kike na pindi lile jini la kike linapopigwa halitaki kutoka kwa yule mwanamke muislamu. Katika hali hii inajuzu kuliunguza na moto mpaka litoke kwa yule mwanamke muislamu?
Jibu: Ni haramu kabisa kulichoma moto. Kwa sababu hakuna mwenye kuadhibu kwa moto isipokuwa Allaah pekee.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (14/188)
- Imechapishwa: 24/08/2020
Swali: Kuna mwanamke yuko na jini la kike na pindi lile jini la kike linapopigwa halitaki kutoka kwa yule mwanamke muislamu. Katika hali hii inajuzu kuliunguza na moto mpaka litoke kwa yule mwanamke muislamu?
Jibu: Ni haramu kabisa kulichoma moto. Kwa sababu hakuna mwenye kuadhibu kwa moto isipokuwa Allaah pekee.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (14/188)
Imechapishwa: 24/08/2020
https://firqatunnajia.com/inajuzu-kulichoma-jini-ili-litoke-kwa-mgonjwa/