Inajuzu kujenga msikiti kwa mali ya ribaa?

Swali: Mimi natoka nje ya mji huu na nina mali ya Ribaa. Je, inajuzu kwangu kuitoa kuwapa markaz ya Kiislamu ili waweze kujenga kwa mali hiyo Muswalla kwa Waislamu? Kama haifai vipi nitajikwamua nazo?

Jibu: Hapana. Mali ya Ribaa haijengi Msikiti wala mahala pa kuswalia (Muswalla). Mtu ajikwamue nazo kwa mambo ambayo hayahusiani na mambo ya Swalah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/liqo%20%20-%2021%20-%2008%20-%201435.mp3
  • Imechapishwa: 09/04/2015