Swali: Kupiga picha kwa kutumia camera ni haramu au ni sawa kwa mwenye kufanya hivo?

Jibu: Ndio, kuchukua picha viumbe wenye roho kwa camera na kwa kutumia ala nyinginezo ni haramu. Ni juu ya ambaye alifanya hivo atubu kwa Allaah na amuombe msamaha na ajutie aliyoyafanya na asirudi tena kufanya hivo.

  • Mhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (1/461)
  • Imechapishwa: 24/08/2020