Inafaa majina kama ´Aziyz, Hakiym na mfano wake?

Swali: Baadhi ya watu wanaitwa “´Aziyz” na “Hakiym”?

Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikubali jina la ´Aziyz bin Hizaam, mke wa ´Aziyz na Hakiym bin Mu´aawiyah. Kwa hivyo hapana vibaya juu ya hilo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24675/ما-حكم-التسمي-بـ-عزيز-وحكيم
  • Imechapishwa: 23/11/2024