Inafaa kwa kila mgonjwa kukusanya kati ya swalah mbili?

Swali: Je, kila mgonjwa imeruhusiwa kwake kukusanya kati ya swalah mbili?

Jibu: Ikiwa ana uzito wa kuswali kila swalah kwa wakati wake. Katika hali hii inafaa kwake kukusanya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (88) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahssat.mp3
  • Imechapishwa: 28/09/2018