Inafaa kuwafanyia matabano makafiri?

Swali: Hadiyth ya Abu Sa´iyd al-Khudriy (Radhiya Allaahu ´anh) inathibitisha kuwa inafaa kuwafanyia matabano makafiri?

Jibu: Ndio, kuna uthibitisho huo.

  • Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
  • Imechapishwa: 26/02/2022