Ilani ya uandishi na ya kuongea juu ya kilichookotwa

Swali: Je, inatosha katika kutangaza kilichookotwa kuweka ilani katika ukuta wa nje wa msikiti au ni lazima vilevile kukitangaza kwa kuzungumza?

Jibu: Yote mawili. Haitoshi kuandika peke yake. Si kila mmoja anasoma, si kila mmoja anazinduka kwa ilani. Hata hivyo wote walioko pale wanasikia sauti.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
  • Imechapishwa: 26/02/2022