Swali: Vipi kuhusu soksi nyembamba?

Jibu: Ni lazima soksi ziwe zinafunika. Soksi za ngozi, kilemba na soksi za kawaida ni lazima ziwe zinafunika vile viungo vinavyopasa kuoshwa. Ikiwa soksi ni nyembamba sana, basi hakupanguswi juu yake.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24737/هل-يمسح-على-الجوارب-الشفافة
  • Imechapishwa: 05/12/2024