Swali: Imani kwa mujibu wa Murji-ah inashuka?

Jibu: Imani kwa mujibu wao ni maneno na kusadikisha peke yake. Kwa mtazamo wao hakuna kitu kinachoitwa matendo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23468/معنى-الايمان-عند-المرجىة
  • Imechapishwa: 26/01/2024