Swali: Ni lini imamu anatakiwa kusema:
“Kamilisheni swalah zenu. Kwani hakika mimi ni msafiri.”?
Jibu: Ni Sunnah ya ´Umar (Radhiya Allaahu ´anh) na ni sahihi. Imamu ataisema kwa sauti ya juu baada ya yeye kutoa salamu ya kwanza kimyakimya. Miongoni mwa Sunnah ni kuacha Sunnah. Tasliym ya pili imependekezwa.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 175
- Imechapishwa: 03/07/2022
Swali: Ni lini imamu anatakiwa kusema:
“Kamilisheni swalah zenu. Kwani hakika mimi ni msafiri.”?
Jibu: Ni Sunnah ya ´Umar (Radhiya Allaahu ´anh) na ni sahihi. Imamu ataisema kwa sauti ya juu baada ya yeye kutoa salamu ya kwanza kimyakimya. Miongoni mwa Sunnah ni kuacha Sunnah. Tasliym ya pili imependekezwa.
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 175
Imechapishwa: 03/07/2022
https://firqatunnajia.com/imamu-kuwaeleza-maamuma-kuwa-yeye-ni-msafiri/