Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kugeuza “dhaal” kwenda “zaal” katika al-Faatihah:
صِرَاطَ الَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ
“Njia ya wale Uliowaneemesha.” (01:07)
Jibu: Si sawa. Si sawa kusoma kwa lahja ya isiyokuwa ya kiarabu. Asisome kwa lahja isiyokuwa ya kiarabu na kwenda katika lahja ya kimisri au nyingine. Asisomi kwa lahja nyinginezo. Asome kwa lahja ya kiarabu ambayo Qur-aan imeteremshwa kwayo. Asome kwa lahja ya kiarabu. Asiyeweza kufanya hivo asiwaongoze watu. Haifai kuwa imamu.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (58) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-14.mp3
- Imechapishwa: 21/08/2020
Swali: Ni ipi hukumu ya mwenye kugeuza “dhaal” kwenda “zaal” katika al-Faatihah:
صِرَاطَ الَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ
“Njia ya wale Uliowaneemesha.” (01:07)
Jibu: Si sawa. Si sawa kusoma kwa lahja ya isiyokuwa ya kiarabu. Asisome kwa lahja isiyokuwa ya kiarabu na kwenda katika lahja ya kimisri au nyingine. Asisomi kwa lahja nyinginezo. Asome kwa lahja ya kiarabu ambayo Qur-aan imeteremshwa kwayo. Asome kwa lahja ya kiarabu. Asiyeweza kufanya hivo asiwaongoze watu. Haifai kuwa imamu.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (58) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/tf–1432-01-14.mp3
Imechapishwa: 21/08/2020
https://firqatunnajia.com/imamu-anayesoma-swiraatwa-al-laziyna/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)