Swali: Imamu akiwaswalisha watu na baada ya kumaliza kuswali akakumbuka kuwa alikuwa hana wudhuu´ – je, ni lazima kwa waswaliji kuirudi swalah yao?
Jibu: Hapana. Hawatoirudi.
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 142
- Imechapishwa: 02/07/2022
Swali: Imamu akiwaswalisha watu na baada ya kumaliza kuswali akakumbuka kuwa alikuwa hana wudhuu´ – je, ni lazima kwa waswaliji kuirudi swalah yao?
Jibu: Hapana. Hawatoirudi.
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 142
Imechapishwa: 02/07/2022
https://firqatunnajia.com/imamu-amekumbuka-kuwa-ameswalisha-bila-wudhuu/