Swali: Baadhi ya watu hufanya Idhwtibaa´ katika swalah?
Jibu: Hapana, haifai kufanya Idhtibaa´ katika swalah. Bali anatakiwa kuivaa nguo yake juu ya mabega yake. Idhwtibaa´ hufanywa katika Twawaaf ya kuwasili tu. Ama katika sehemu nyingine isiyokuwa Twawaaf ya kuwasili, basi anatakiwa kuivaa juu ya mabega yake yote mawili.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/346)
- Imechapishwa: 14/03/2026
Swali: Baadhi ya watu hufanya Idhwtibaa´ katika swalah?
Jibu: Hapana, haifai kufanya Idhtibaa´ katika swalah. Bali anatakiwa kuivaa nguo yake juu ya mabega yake. Idhwtibaa´ hufanywa katika Twawaaf ya kuwasili tu. Ama katika sehemu nyingine isiyokuwa Twawaaf ya kuwasili, basi anatakiwa kuivaa juu ya mabega yake yote mawili.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/346)
Imechapishwa: 14/03/2026
https://firqatunnajia.com/idhwtibaa-wakati-wa-kuswali/