Idhini ya mtawala juu ya swalah ya Kusuuf na Istisqaa´

Swali: Je, imeshurutishwa juu ya Swalat-ul-Kusuuf na Istisqaa´ kukubali kwa mtawala?

Jibu: Hapana, haikushurutishwa hili ikiwa kama masharti yataenea. Hata Ijumaa wamesema (wanachuoni) kwamba miongoni mwa masharti yake sio lazima kupata idhini ya mtawala lau masharti yataenea.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (05) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1430-6-7.mp3
  • Imechapishwa: 10/11/2014