Swali: Je, imethibiti kuwa Shayk-ul-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) alikuwa akitekeleza adhabu za kidini bila ya kurejea kwa watawala?

Jibu: Huu ni uwongo. Shayk-ul-Islaam Ibn Taymiyyah alikuwa ni miongoni mwa watu bora kabisa katika kuifanyia kazi Shari´ah. Hakuwa akitekeleza adhabu; mtawala wa waislamu pekee ndiye ambaye alikuwa akizitekeleza.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
  • Imechapishwa: 19/07/2024