Swali: Vipi kuhusu utoko unaotoka katika tupu ya mwanamke?
Jibu: Ndio, unavunja wudhuu´. Kwa sababu unatoka katika njia mbili za haja.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31522/حكم-الرطوبات-التي-تخرج-من-فرج-المراة
- Imechapishwa: 31/10/2025
Swali: Vipi kuhusu utoko unaotoka katika tupu ya mwanamke?
Jibu: Ndio, unavunja wudhuu´. Kwa sababu unatoka katika njia mbili za haja.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31522/حكم-الرطوبات-التي-تخرج-من-فرج-المراة
Imechapishwa: 31/10/2025
https://firqatunnajia.com/ibn-baaz-utoko-unaotoka-kwenye-tupu-ya-mwanamke/