Ni lazima mtu atie nia ya kupangusa juu ya soksi kabla ya kuzivaa?

Swali: Je, ni sharti mtu atie nia ya kupangusa juu ya soksi za ngozi kabla ya kuzivaa?

Jibu: Hapana, si sharti. Akizivaa akiwa katika hali ya twahara inatosha, hata kama hakunuia kabla ya wudhuu´.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31520/هل-تشترط-نية-المسح-على-الخفين-قبل-لبسهما
  • Imechapishwa: 31/10/2025