Ibn Baaz namna ya kugawanya kati ya saa ya kwanza mpaka ya mwisho siku ya ijumaa

Swali: Ni yepi makusudio ya Saa siku ya ijumaa? Ni zama zinazotambulika?

Jibu: Mchana umegawanyika masaa kumi na mbili. Akienda katika Saa ya kwanza[1], kama ilivyokuja katika Hadiyth.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/01-hadiyth-yule-mwenye-kuoga-siku-ya-ijumaa/

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23806/المراد-بالساعة-يوم-الجمعة-في-فضل-التبكير
  • Imechapishwa: 03/05/2024