Ibn Baaz kuongeza “… na msamaha wake” katika kuitika salamu

Swali: Je, inafaa kuitikia salamu salamu kwa kuzidisha:

ومغفرته

“… na msamaha wake”?

Jibu: Hatujui juu yake kitu sahihi kilichosihi. Hakika si vyenginevyo imepokelewa kutoka kwa baadhi ya Salaf kama vile Ibn ´Umar na wengineo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24242/حكم-زيادة-ومغفرته-في-رد-السلام
  • Imechapishwa: 17/09/2024