Swali: Kigezo cha tofauti kati ya ndoa ya Mut´ah na kuoa kwa nia ya kuacha?
Jibu: Mut´ah wanawekeana sharti wote wawili kwamba ndoa yao ni kwa muda wa miezi miwili, miezi mitatu, mwaka au miaka miwili. Muda ukimalizika ndoa imevunjika. Ni kama kukodishiana nyumba.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa-ud-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/6374/%D8%A7%D9%84%D9%81%D8%B1%D9%82-%D8%A8%D9%8A%D9%86-%D9%86%D9%83%D8%A7%D8%AD-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AA%D8%B9%D8%A9-%D9%88%D8%A7%D9%84%D9%86%D9%83%D8%A7%D8%AD-%D8%A8%D9%86%D9%8A%D8%A9-%D8%A7%D9%84%D8%B7%D9%84%D8%A7%D9%82
- Imechapishwa: 26/12/2020
Swali: Kigezo cha tofauti kati ya ndoa ya Mut´ah na kuoa kwa nia ya kuacha?
Jibu: Mut´ah wanawekeana sharti wote wawili kwamba ndoa yao ni kwa muda wa miezi miwili, miezi mitatu, mwaka au miaka miwili. Muda ukimalizika ndoa imevunjika. Ni kama kukodishiana nyumba.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa-ud-Duruus https://binbaz.org.sa/fatwas/6374/%D8%A7%D9%84%D9%81%D8%B1%D9%82-%D8%A8%D9%8A%D9%86-%D9%86%D9%83%D8%A7%D8%AD-%D8%A7%D9%84%D9%85%D8%AA%D8%B9%D8%A9-%D9%88%D8%A7%D9%84%D9%86%D9%83%D8%A7%D8%AD-%D8%A8%D9%86%D9%8A%D8%A9-%D8%A7%D9%84%D8%B7%D9%84%D8%A7%D9%82
Imechapishwa: 26/12/2020
https://firqatunnajia.com/ibn-baaz-kuoa-kwa-nia-ya-kuacha-ii/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)