Swali: Je, imesihi kutoka kwa Imaam Ahmad ya kwamba anaonelea kufaa kufanya Tawassul kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) peke yake?
Jibu: Yamepokelewa hayo. Lakini linalojulikana kutoka kwake na kwa wengine ni makatazo. Haya ndio maoni ya wanachuoni wengi. Haijalishi kitu hata kama Imaam Ahmad au mwengine amesema hayo. Ni kosa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 40
- Imechapishwa: 10/11/2016
Swali: Je, imesihi kutoka kwa Imaam Ahmad ya kwamba anaonelea kufaa kufanya Tawassul kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) peke yake?
Jibu: Yamepokelewa hayo. Lakini linalojulikana kutoka kwake na kwa wengine ni makatazo. Haya ndio maoni ya wanachuoni wengi. Haijalishi kitu hata kama Imaam Ahmad au mwengine amesema hayo. Ni kosa.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 40
Imechapishwa: 10/11/2016
https://firqatunnajia.com/ibn-baaz-kuhusu-upokezi-unaosema-kuwa-imaam-ahmad-amejuzisha-kutawasali-kwa-mtume/