Ibn Baaz kuhusu swawm za makubaliano

Swali: Vipi watu kufunga swawm ya kujitolea kwa kukubaliana?

Jibu: Hapana.

Swali: Vipi kuhusu watu kukubaliana kufunga siku maalum ambapo mmoja wao akawaambia wengine kuwa atawaamsha katika daku?

Jibu: Sijui ubaya wowote juu ya hilo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 129
  • Imechapishwa: 02/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abi Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´