Swali 177: Kuna wenye kusema kuwa Saa inayopatikana katika siku ya ijumaa inahamahama kutokana na Hadiyth mbalimbali?

Jibu: Allaah ndiye anayejua zaidi.

Swali 17: Kuhusu Saa ya mwisho siku ya ijumaa – je, kujibiwa du´aa ni maalum kwa wale wanaosubiri swalah au kumeenea?

Jibu: Ni jambo lenye kuenea. Hata hivyo anayesubiri swalah ana haki zaidi kwa mujibu wa Hadiyth nyingine.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 75
  • Imechapishwa: 04/04/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´