Ibn Baaz kuhusu kukata masharubu na kucha za maiti

Swali 313: Je, ni jambo limesuniwa kukata masharubu ya maiti au kucha zake?

Jibu: Ni jambo lenye wasaa. Hili limetajwa na kikosi cha wanazuoni. Ama kukata sehemu za siri au kwapani hapana, kwa sababu ni jambo la taabu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 111
  • Imechapishwa: 24/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´