Ibn Baaz kuhusu kuchinja Ramadhaan kwa ajili ya wazazi wawili

Swali: Kuhusu kile kinachoitwa ”Chakula cha Ramadhaan” ambapo wanachinja kwa ajili ya wazazi wao na kuuhusisha mwezi huu?

Jibu: Ni mwezi wenye fadhilah.

Swali: Kuhusiana na kuuhusisha mwezi huu maalum kwa kitendo hicho?

Jibu: Si tatizo[1].

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/ni-ipi-hukumu-ya-chakula-cha-ramadhaan/

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 128
  • Imechapishwa: 05/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´