Swali: Vipi kuhusu kuwatahiri wanawake?

Jibu: Inapendeza ikiwezekana kwa ambaye ana ujuzi wa hilo.

Swali: Dalili ni ipi ya kuwatahiri wanawake?

Jibu: Kuenea kwa Hadiyth inayosema:

“Mambo ya kimaumbile ni matano; kutahiri, kutoa nywele za sehemu ya siri, kupunguza masharubu, kukata kucha na kunyofoa nywele za kwapani.”

Kuna mapokezi mengine yaliyopokelewa ambayo yanawafanya kuwa maalum kwa jambo hilo.

Swali: Mwanamke anafanyiwa jando hata kama ameshakuwa mkubwa?

Jibu: Ikiwa hakukhofiwi khatari kwa mwanamke mkubwa, basi inamuhusu mwanaume na mwanamke. Lakini ikiwa kunakhofiwa kitu linaachwa.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24283/ما-حكم-اختتان-النساء
  • Imechapishwa: 23/09/2024