Swali: Asiyetahiri anapata dhambi?
Jibu: Wanazuoni wengi wanaona kuwa inapendeza. Ahmad (Rahimahu Allaah), Ibn ´Abbaas na kikosi cha wanazuoni wengine wanaona kuwa ni wajibu.
Swali: Asiyetahiri anapata dhambi?
Jibu: Wale ambao wanaona kuwa ni wajibu anapata dhambi. Wale ambao wanaona kuwa inapendeza hapati dhambi. Hata hivyo mtu anatakiwa kufanya hivo, kama alivosema Ibn ´Abbaas na akatilia mkazo wa hilo. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliwaambia baadhi ya Maswahabah waliposilimu:
”Ondosha nywele za ukafiri na tahiri!”
Hata hivyo katika cheni ya upokezi kuna unyonge.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24282/هل-ياثم-من-لم-يختتن
- Imechapishwa: 23/09/2024
Swali: Asiyetahiri anapata dhambi?
Jibu: Wanazuoni wengi wanaona kuwa inapendeza. Ahmad (Rahimahu Allaah), Ibn ´Abbaas na kikosi cha wanazuoni wengine wanaona kuwa ni wajibu.
Swali: Asiyetahiri anapata dhambi?
Jibu: Wale ambao wanaona kuwa ni wajibu anapata dhambi. Wale ambao wanaona kuwa inapendeza hapati dhambi. Hata hivyo mtu anatakiwa kufanya hivo, kama alivosema Ibn ´Abbaas na akatilia mkazo wa hilo. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliwaambia baadhi ya Maswahabah waliposilimu:
”Ondosha nywele za ukafiri na tahiri!”
Hata hivyo katika cheni ya upokezi kuna unyonge.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24282/هل-ياثم-من-لم-يختتن
Imechapishwa: 23/09/2024
https://firqatunnajia.com/dhambi-kwa-asiyetahiri/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)