Swali: Shaykh [Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab] alichagua madhehebu ya Hanbaliy juu ya mengine yote. Kuna sababu ya hilo?

Jibu: Madhehebu ya Hanbaliy yamejengwa juu ya Qur-aan na Sunnah. Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab anafuata yale yaliyojengwa juu ya dalili katika madhehebu ya Hanbaliy na mengineyo. Anapobainikiwa na dalili anaifuata hata kama itakuwa katika madhehebu yasiyokuwa ya Hanbaliy. Hili ndilo la wajibu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Haqiyqatu Da´wat-ish-Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/02011436.mp3
  • Imechapishwa: 27/08/2020