Swali: Je, Imaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab alikuwa akipigana vita kwa ajili ya kuacha swalah?
Jibu: Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab alikuwa akipigana vita kwa ajili ya kuabudu asiyekuwa Allaah. Ilikuwa ni kwa ajili ya shirki.
Kuhusiana na kwamba alikuwa akipigana vita kwa ajili ya kuacha swalah, mimi sijui hili.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/15216
- Imechapishwa: 28/06/2020
Swali: Je, Imaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab alikuwa akipigana vita kwa ajili ya kuacha swalah?
Jibu: Shaykh Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab alikuwa akipigana vita kwa ajili ya kuabudu asiyekuwa Allaah. Ilikuwa ni kwa ajili ya shirki.
Kuhusiana na kwamba alikuwa akipigana vita kwa ajili ya kuacha swalah, mimi sijui hili.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/15216
Imechapishwa: 28/06/2020
https://firqatunnajia.com/ibn-abdil-wahhaab-alikuwa-anawapiga-vita-wenye-kuacha-swalah/