Swali: Baadhi ya wale wenye kufasiri ndogo wakati mwingine wanataja mambo ya kweli yenye kuhusiana na yule aliyeona ndoto au ndugu yake wa karibu kama mfano wa jina la mama yake, rafiki yake, aina ya gari yake na mfano wa hayo. Je, hii ni karama au ni aina ya uchawi?

Jibu: Huu ni uchawi. Huyu sio mwenye kufasiri ndoto. Ni mchawi na anawatumia mashaytwaan. Wao ndio wanaomjuza mambo haya kwa kutumia jina la “kufasiri ndoto”. Mtu atahadhari na watu hawa.

 

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (01) http://alfawzan.af.org.sa/node/2044
  • Imechapishwa: 11/10/2016