Swali: Mke wangu ananisusa kitandani kwa sababu tu sikufanya upya mkataba wa intaneti. Nilifanya hivo kwa sababu yeye anawaacha watoto pasi na kuwaangalia ambapo wanatazama tovuti chafu. Unaninasihi nini mimi na yeye juu ya jambo hili?

Jibu: Vipi atakususa? Ususaji ni jambo liko mikononi mwa mwanaume. Yeye ndiye anamsusa:

وَاهْجُرُوهُنَّ فِي الْمَضَاجِعِ

“… na wahameni katika malaz.” (04:34)

Huku ni kwamba anakuasi.  Ni mwanamke muasi. Mshtaki kuhusu hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (88) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igahssat.mp3
  • Imechapishwa: 15/09/2018