Hukumu za Tajwiyd wakati wa Mtume

Swali 156: Je, hukumu za Tajwiyd zimepokelewa kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)?

Jibu: Sijui, lakini zinajulikana kwa wasomaji, ingawa si wajibu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 71
  • Imechapishwa: 28/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´