Kuanzia hapa Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:
“Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ameamrisha kuwa na subira juu ya watawala na kuamrisha kuwaua Ahl-ul-Bid´ah.”[1]
Kwa kuwa Ahl-ul-Bid´ah wanaiharibu Dini na mara nyingi watawala wanaharibu dunia ya watu. Tofauti na watu hawa wanaharibu Dini yao, ´Aqiydah zao, akili zao na mabalaa na shari zao ni khatari sana. Huu ndio ufahamu katika dini ya Allaah.
[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (28/470-471)
- Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: adh-Dhariy´ah ilaa Bayaan Maqaasid Kitaab-ish-Sharï´ah (1/126)
- Imechapishwa: 19/05/2015
Kuanzia hapa Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah) amesema:
“Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ameamrisha kuwa na subira juu ya watawala na kuamrisha kuwaua Ahl-ul-Bid´ah.”[1]
Kwa kuwa Ahl-ul-Bid´ah wanaiharibu Dini na mara nyingi watawala wanaharibu dunia ya watu. Tofauti na watu hawa wanaharibu Dini yao, ´Aqiydah zao, akili zao na mabalaa na shari zao ni khatari sana. Huu ndio ufahamu katika dini ya Allaah.
[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (28/470-471)
Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: adh-Dhariy´ah ilaa Bayaan Maqaasid Kitaab-ish-Sharï´ah (1/126)
Imechapishwa: 19/05/2015
https://firqatunnajia.com/hukumu-ya-walinganizi-wa-bidah/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)