Swali: Hukumu hio hio[1] inamgusa mwenye kupinga Hadiyth ya kushindilia nzi kwenye kikombe?
Jibu: Anashikwa na hukumu hio hio. Mwenye kufikiwa na Hadiyth Swahiyh na kuikanusha kwa ujuzi hata kama imepokelewa na al-Bukhaariy (wanamponda al-Bukhaariy kwa sababu yeye ndio amepokea Hadiyth hii) anaritadi kutoka katika Uislamu. Kwa sababu anamrudi na kumkadhibisha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
——–
(1) https://www.firqatunnajia.com/hukumu-ya-mwenye-kupinga-hadiyth-ya-mkojo-wa-ngamia
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/nawaqid-19-08-1435-01.mp3
- Imechapishwa: 11/04/2015
Swali: Hukumu hio hio[1] inamgusa mwenye kupinga Hadiyth ya kushindilia nzi kwenye kikombe?
Jibu: Anashikwa na hukumu hio hio. Mwenye kufikiwa na Hadiyth Swahiyh na kuikanusha kwa ujuzi hata kama imepokelewa na al-Bukhaariy (wanamponda al-Bukhaariy kwa sababu yeye ndio amepokea Hadiyth hii) anaritadi kutoka katika Uislamu. Kwa sababu anamrudi na kumkadhibisha Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
——–
(1) https://www.firqatunnajia.com/hukumu-ya-mwenye-kupinga-hadiyth-ya-mkojo-wa-ngamia
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/nawaqid-19-08-1435-01.mp3
Imechapishwa: 11/04/2015
https://firqatunnajia.com/hukumu-ya-mwenye-kupinga-hadiyth-ya-nzi/