Swali: Vipi kuhusu kuvaa kikepe[1] kwa sababu baadhi ya ndugu wamenikataza kuvaa na kusema kuwa ni haramu?
Jibu: Hakuna kitu katika hilo. Kikepe hakina neno. Akivaa kikepe, uzi au kilemba, basi hakuna tatizo. Yote hayana tatizo. Mambo ya mavazi hayana tatizo isipokuwa kwa namna ambayo kuna kujifananisha na makafiri. Kitu chenye kujifananisha na makafiri hafai kukifanya. Mradi vazi lake linavaliwa na waislamu, basi hakuna tatizo.
[1] Tazama https://ar.wikipedia.org/wiki/%D8%B9%D9%82%D8%A7%D9%84
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/988/حكم-لبس-العقال
- Imechapishwa: 11/07/2026
Swali: Vipi kuhusu kuvaa kikepe[1] kwa sababu baadhi ya ndugu wamenikataza kuvaa na kusema kuwa ni haramu?
Jibu: Hakuna kitu katika hilo. Kikepe hakina neno. Akivaa kikepe, uzi au kilemba, basi hakuna tatizo. Yote hayana tatizo. Mambo ya mavazi hayana tatizo isipokuwa kwa namna ambayo kuna kujifananisha na makafiri. Kitu chenye kujifananisha na makafiri hafai kukifanya. Mradi vazi lake linavaliwa na waislamu, basi hakuna tatizo.
[1] Tazama https://ar.wikipedia.org/wiki/%D8%B9%D9%82%D8%A7%D9%84
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/988/حكم-لبس-العقال
Imechapishwa: 11/07/2026
https://firqatunnajia.com/hukumu-ya-kuvaa-kikepe/