Swali: Ipi hukumu ya mwenye kuuza vinywaji mchana wa Ramadhaan?
Jibu: Ikiwa anasaidia watu kula, hili halijuzu. Kwa kuwa ni katika kusaidiana katika uovu na uadui na Kaliharamisha Allaah. Na ikiwa anawauzia wasafiri na wagonjwa au watu wanakihifadhi mpaka saa ya kufuturu, hakuna ubaya.
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
- Imechapishwa: 10/05/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket