Swali: Ipi hukumu ya mwenye kuuza vinywaji mchana wa Ramadhaan?
Jibu: Ikiwa anasaidia watu kula, hili halijuzu. Kwa kuwa ni katika kusaidiana katika uovu na uadui na Kaliharamisha Allaah. Na ikiwa anawauzia wasafiri na wagonjwa au watu wanakihifadhi mpaka saa ya kufuturu, hakuna ubaya.
- Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
- Imechapishwa: 10/05/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
05. Tofauti ya mtu mwenye azma na mvivu katika Ramadhaan
Swali 5: Watu wengi katika Ramadhaan hamu yao kubwa imekuwa ni kuleta chakula na kulala. Kwa watu hawa Ramadhaan imekuwa ni mwezi wa uvivu na kutokuwa na la kufanya. Ni kama ambavo baadhi yao wanakesha usiku wanacheza na wanalala mchana. Ni zipi nasaha zako? Jibu: Naona kuwa kufanya hivi ni…
In "48 mas-alatu fiy Swiyaam - Ibn ´Uthaymiyn"
Haijuzu kwa muislamu kuuza chakula mchana wa Ramadhaan
Swali: Kuna muislamu ambaye anamiliki mgahawa Ufaransa. Je, inajuzu kwake kuwauzia chakula – sawa kuwauzia waislamu au makafiri - mchana wa Ramadhaan? Jibu: Hapana, haijuzu. Haijuzu kwa muislamu kuuza chakula mchana wa Ramadhaan. Haijalishi kitu anawauzia waislamu au makafiri.
In "Maswali na majibu kuhusu Swawm katika Ramadhaan"
Kupaka wanja mchana wa Ramadhaan kunafunguza?
Swali: Je, kupaka wanja mchana wa Ramadhaan kunafunguza? Jibu: Maoni yaliyo na nguvu ni kwamba wanja haumfunguzi. Haijalishi kitu hata kama atahisi rangi au ladha yake kwenye koromeo. Hayo yamehakikishwa na Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah (Rahimahu Allaah). Kwa sababu huku sio kula wala kunywa na wala hakuna maana ya kula na…
In "Fatwa juu ya mambo yanayoharibu swawm na mengineyo"