Hukumu ya kumuomba aliyehai, muweza lakini hayupo mbele yako

Swali: Ni ipi hukumu ya kumuomba msaada ambaye yuhai, muweza lakini hayuko mbele yangu?

Jibu: Haijuzu. Ni shirki. Ni shirki kumuomba asiyekuwa mbele yako. Ambaye hayuko mbele yako hajui chochote kuhusu wewe na wala hawezi kukusaidia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (35) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majid%20-%208%20-%201%20-%201437.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017