Swali: Kuna Bid´ah nzuri na mbaya?
Jibu: Hapana, hakuna Bid´ah nzuri. Bid´ah zote ni upotevu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“Kila Bid´ah ni upotevu.”[1]
Wewe unasema kuwa kuna Bid´ah ilio nzuri? Huku ni kupingana na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
[1] Muslim (867).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Muhadhara: Waswiyyat-un-Nabiy http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/wasiyah%20nabi-21-11-1436-01.mp3
- Imechapishwa: 17/07/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
Hili halinapatikana kwa Ahl-us-Sunnah – linapatikana kwa makhurafi
Swali: Je, katika Uislamu kuna Bid´ah nzuri na Bid´ah mbaya? Jibu: Hili linapatikana kwa makhurafi. Ama Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah hawana Bid´ah nzuri. Kwa kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema: “Kila kitakachozushwa ni Bid´ah na kila Bid´ah ni upotevu.” Hakusema kuwa kuna Bid´ah nzuri na mbaya. Bali (Swalla Allaahu ´alayhi…
In "al-Fawzaan msimamo kwa Ahl-ul-Bid´ah"
Bid´ah zote ni mbaya
Swali: Je, katika dini kuna Bid´ah nzuri? Jibu: Kuna watu wenye kuonelea hivi ya kwamba katika dini kuna Bid´ah nzuri na mbaya. Sahihi ni kwamba katika dini hakuna Bid´ah yoyote nzuri. Dalili ya hilo ni maneno yake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam): "Kila Bid´ah ni upotevu." Katika "as-Sunan" ya…
In "6. Radd juu ya ukhurafi wa Bid´ah nzuri"
Maulidi ni Bid´ah na kila Bid´ah ni upotevu
Swali: Wapo watu wanaosema kwamba kusherehekea mazazi ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), kumsomea Qur-aan maiti na mfano wa hayo ni miongoni mwa Bid´ah nzuri. Je, kusherehekea mazazi ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuna tofauti katika jambo hilo? Jibu: Hapana. Hakuna Bid´ah yoyote ambayo ni nzuri. Bali…
In "Maulidi"