Swali: Mwanaume kuchanganyika na mke wake wa talaka rejea au kumbusu kunazingatiwa ni kumrejea au ni lazima amwingilie?
Jibu: Kunahesabika ni kumrejea. Akimbusu au akafanya naye kitendo kisichoweza kufanya mwingine isipokuwa mume tu kwa mkewe, huku ni kumrejea.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (39)
- Imechapishwa: 26/05/2023