Swali: Je, kila Mtume ana hodhi?
Jibu: Allaah ndiye mwenye kujua zaidi. Imepokelewa, lakini Allaah ndiye mwenye kujua zaidi. Lililo la wajibu kwetu ni kuamini hodhi ya Mtume wetu (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Ndio maana haikutajwa kwenye vitabu kuamini hodhi za Mitume. Lililotajwa ni kuamini hodhi ya Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–16041434.mp3
- Imechapishwa: 24/09/2020
Swali: Je, kila Mtume ana hodhi?
Jibu: Allaah ndiye mwenye kujua zaidi. Imepokelewa, lakini Allaah ndiye mwenye kujua zaidi. Lililo la wajibu kwetu ni kuamini hodhi ya Mtume wetu (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam). Ndio maana haikutajwa kwenye vitabu kuamini hodhi za Mitume. Lililotajwa ni kuamini hodhi ya Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–16041434.mp3
Imechapishwa: 24/09/2020
https://firqatunnajia.com/hodhi-ya-wajibu-kuamini/