Swali: Hizb-ut-Tahriyr wanasema kuwa imani haipandi wala haishuki. Unasema nini juu ya hilo?

Jibu: Hii ni rai ya Murji-ah. Wanasema kuwa imani haipandi wala haishuki. Hii ni rai ya Murji-ah. Hii ni rai chafu na iliyozushwa na tunaomba kinga kwa Allaah. Rai ya Murji-ah ni chafu na ni ya kuzushwa.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://sahab.net/forums/showthread.php?t=358823
  • Imechapishwa: 30/08/2020