Swali: Kuna mtu ulaya amehifadhi kiwango fulani cha pesa kwa ajili ya kuhiji. Je, atumie pesa hiyo kwa ajili ya kuhiji au atafuta elimu kwanza?

Jibu: Kuhiji hatokukosesha kutafuta elimu. Anza kuhiji na baada ya hapo jifunze elimu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
  • Imechapishwa: 23/04/2021