Swali: Je, Hijaab huhesabika kuwa ni kuonesha uso au kufunika uso?
Jibu: Hijaab ya kuonesha uso? Hijaab ni mwanamke kujisitiri mwili wake wote; uso wake, vitanga vyake vya mikono na miguu yake mbele ya wanaume. Hii ndio Hijaab. Ama akisitiri mwili wake (wote) na kuonesha uso wake, hii ni Hijaab yenye upungufu. Kuonesha uso ni Haramu. Hii ni kasoro ya Haramu na haijuzu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=WF4xjBXbRUM
- Imechapishwa: 07/02/2018
Swali: Je, Hijaab huhesabika kuwa ni kuonesha uso au kufunika uso?
Jibu: Hijaab ya kuonesha uso? Hijaab ni mwanamke kujisitiri mwili wake wote; uso wake, vitanga vyake vya mikono na miguu yake mbele ya wanaume. Hii ndio Hijaab. Ama akisitiri mwili wake (wote) na kuonesha uso wake, hii ni Hijaab yenye upungufu. Kuonesha uso ni Haramu. Hii ni kasoro ya Haramu na haijuzu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=WF4xjBXbRUM
Imechapishwa: 07/02/2018
https://firqatunnajia.com/hijaab-ya-mwanamke-ni-pamoja-na-kufunika-uso-na-vitanga/