Swali: Kuna mwandishi mmoja amedai kuwa mchanganyiko unajuzu na ametumia dalili kutoka kwa wanawake kwenda vitani pamoja na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Jibu: Hawakuchanganyika na wanaume. Wametoka pasina kupigana pia. Walikuwa wanatoka kwenda Hajj, kutatafuta riziki na kadhalika. Lakini hawakuwa wanachanganyika na wanaume. Walikuwa upande huu na wanaume upande mwingine ilihali amejisitiri na Hijaab.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (60) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mokh_2_1_1433.mp3
- Imechapishwa: 16/11/2014
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket