Kumuitikia muadhini wakati wa darsa 02

Swali: Muadhini anaadhini adhaana ya Dhuhr na mimi niko darasani. Ni lipi bora kwangu; kumuitikia muadhini au kufuatilia darsa?

Jibu: Fuatilia darsa ili lisikupite na ukafikwa na upungufu katika elimu. Kwa kuwa uko mashghuli.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (60) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mokh_2_1_1433.mp3
  • Imechapishwa: 16/11/2014