Swali: Mwenye kutafuta elimu na akajifunza Qur-aan na Sunnah kisha akarejea kwa familia yake akawafundisha, akalingania katika dini ya Allaah na katika kumpwekesha Allaah. Je, mtu aina hii anafikia daraja ya Mujaahiduun siku ya Qiyaamah?
Jibu: Ndio, hii ni Jihaad. Hii ni aina katika Jihaad. Ni aina kubwa katika Jihaad. Kulingania watu, kuwafundisha na kueneza kheri. Hii nii katika aina kubwa ya Jihaad.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (38) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1432-01-06.mp3
- Imechapishwa: 15/11/2014
Swali: Mwenye kutafuta elimu na akajifunza Qur-aan na Sunnah kisha akarejea kwa familia yake akawafundisha, akalingania katika dini ya Allaah na katika kumpwekesha Allaah. Je, mtu aina hii anafikia daraja ya Mujaahiduun siku ya Qiyaamah?
Jibu: Ndio, hii ni Jihaad. Hii ni aina katika Jihaad. Ni aina kubwa katika Jihaad. Kulingania watu, kuwafundisha na kueneza kheri. Hii nii katika aina kubwa ya Jihaad.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (38) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/mo–1432-01-06.mp3
Imechapishwa: 15/11/2014
https://firqatunnajia.com/hii-ni-aina-moja-wapo-ya-jihaad/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)