Hii ndio maana somo la ´Aqiydah likawa ni somo tukufu

Matn ya al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah inahusiana na somo la msingi ambalo ni ´Aqiydah. Somo la ´Aqiydah ni somo tukufu ukilinganisha na masomo mengine. Kwa kuwa utukufu wa elimu unatokamana na kile kinachosomwa. Kinachosomwa hapa ni Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Somo la elimu ya dini linahusiana na kumsoma Allaah, majina na sifa Zake na Matendo Yake. Huu ndio uelewa mkubwa kwa nisba ya uelewa wa matawi.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Hidaayah ar-Rabbaaniyyah fiy Sharh al-´Aqiydah at-Twahaawiyyah (06/01)
  • Imechapishwa: 07/06/2020