Hedhi yake imebadilika na kwenda mwezi mzima au imepungua siku 5 badala ya 7

Swali: Ikiwa mwanamke kawaida huwa anaingia hedhini siku saba… kisha ikabadilika na akapata hedhi mwezi mzima?

Jibu: Hapana, atakaa na aache kuswali na kufunga kwa sababu ya zile siku za ziada za hedhi. Vivyo hivyo ikiwa kawaida yake ni siku saba kisha akaona kuwa amesafika baada ya siku tano, ataoga.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24766/ما-تفعل-من-اختلف-عدد-ايام-حيضها-عن-عادتها
  • Imechapishwa: 07/12/2024