Sampuli zote hizi: mwenye kusema kuwa Qur-aan imeumbwa, Qur-aan ni maneno ya Allaah na akanyamaza na kusimama [pasi na kusema haikuumbwa], matamshi ya Qur-aan yameumbwa, Qur-aan ni hikaaya ya maneno ya Allaah na mwenye kusema Qur-aan ni ibara ya maneno ya Allaah, mtu huyu ni Jahmiyyah na vijukuu vyao. Hukumu yao inapaswa kuwasusa, wasisemezwe na mtu asiswali nyuma yao. Badala yake mtu atahadharishe nao. Hukumu yao ni Ahl-ul-Bid´ah. Matangamano haya hayawahusu watu hawa tu, bali Ahl-ul-Bid´ah wote wanatahadharishwa, wanasuswa na wanakatwa. Wanaporudi katika Bid´ah zao [baada ya kuziacha] wanashauriwa, wakikataa basi ni juu ya kiongozi kuwaua.
- Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: adh-Dhariy´ah ilaa Bayaan Maqaaswid Kitaab-ish-Sharï´ah (1/428-429)
- Imechapishwa: 26/08/2020
Sampuli zote hizi: mwenye kusema kuwa Qur-aan imeumbwa, Qur-aan ni maneno ya Allaah na akanyamaza na kusimama [pasi na kusema haikuumbwa], matamshi ya Qur-aan yameumbwa, Qur-aan ni hikaaya ya maneno ya Allaah na mwenye kusema Qur-aan ni ibara ya maneno ya Allaah, mtu huyu ni Jahmiyyah na vijukuu vyao. Hukumu yao inapaswa kuwasusa, wasisemezwe na mtu asiswali nyuma yao. Badala yake mtu atahadharishe nao. Hukumu yao ni Ahl-ul-Bid´ah. Matangamano haya hayawahusu watu hawa tu, bali Ahl-ul-Bid´ah wote wanatahadharishwa, wanasuswa na wanakatwa. Wanaporudi katika Bid´ah zao [baada ya kuziacha] wanashauriwa, wakikataa basi ni juu ya kiongozi kuwaua.
Mhusika: ´Allaamah Rabiy´ bin Haadiy al-Madkhaliy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: adh-Dhariy´ah ilaa Bayaan Maqaaswid Kitaab-ish-Sharï´ah (1/428-429)
Imechapishwa: 26/08/2020
https://firqatunnajia.com/hawa-wote-wana-hukumu-moja-2/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)